Acts 21:22
Sasa tufanyeje? Bila shaka watasikia kwamba umekuja Yerusalemu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
What is it therefore? the multitude must needs come together: for they will hear that thou art come.
In Context
23Kwa hiyo fanya lile tunalokuambia. Tunao watu wanne hapa ambao wameweka nadhiri.
Cross References
Acts 15:12Kusanyiko lote likakaa kimya, wakawasikiliza Paulo na Barnaba wakieleza jinsi Mungu alivyowatumia kutenda ishara na maajabu kwa watu wa Mataifa.
Acts 19:32Ule umati ulikuwa na taharuki. Wengine walikuwa wakipiga kelele, hawa wakisema hili na wengine lile. Idadi kubwa ya watu hawakujua hata ni kwa nini walikuwa wamekusanyika huko.