Acts 21:35
Paulo alipofika penye ngazi, ilibidi askari wambebe juu juu kwa sababu fujo za ule umati wa watu zilikuwa kubwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
36Umati wa watu ulikuwa ukifuata ukiendelea kupiga kelele ukisema, “Mwondoe huyu!” 1 Paulo Anajitetea
Cross References
Genesis 6:11Wakati huu dunia ilikuwa imejaa uharibifu na ukatili machoni pa Mungu.
Psalms 58:2La, mioyoni mwenu mnatunga udhalimu, 2 na mikono yenu hupima jeuri duniani. 1
Habakkuk 1:2Ee Bwana, hata lini nitakuomba msaada, 2 lakini wewe husikilizi? 1 Au kukulilia, “Udhalimu!” 2 Lakini hutaki kuokoa? 1
Acts 24:7Lakini jemadari Lisia alitujia na nguvu nyingi, akamwondoa mikononi mwetu,