bible.software › Acts › Acts 23 › Acts 23:28
Acts 23:28
Nilitaka kujua kwa nini walikuwa wanamshutumu, hivyo nikamleta mbele ya baraza lao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when I would have known the cause wherefore they accused him, I brought him forth into their council:
In Context
27Mtu huyu alikamatwa na Wayahudi wakakaribia kumuua, lakini nikaja na vikosi vyangu vya askari nikamwokoa, kwa kuwa nilipata habari kwamba yeye ni raiya wa Rumi.
29Ndipo nikaona kuwa alikuwa anashutumiwa kwa mambo yanayohusu sheria yao, lakini hakuwa ameshtakiwa kwa jambo lolote linalostahili kifo au kifungo.
Read all of Acts 23
This Verse In Other Editions
Study Acts 23:28