Acts 23:5
Paulo akajibu, “Ndugu zangu, sikujua kwamba yeye alikuwa kuhani mkuu. Kwa maana imeandikwa, ‘Usimnenee mabaya kiongozi wa watu wako.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ecclesiastes 10:20Usimshutumu mfalme hata ikiwa ni katika mawazo yako, 2 au kumlaani tajiri katika chumba chako cha kulala, 1 kwa sababu ndege wa angani wanaweza kuchukua maneno yako, 2 naye ndege anayeruka anaweza kutoa taarifa ya yale uliyosema.
2 Peter 2:10Hii ni hakika hasa kwa wale wanaofuata tamaa mbaya za mwili na kudharau mamlaka. Kwa ushupavu na kwa kiburi, watu hawa hawaogopi kunena mabaya dhidi ya viumbe vya mbinguni.