The Bible Software
bible.softwareActsActs 24 › Acts 24:25

Acts 24:25

Naye Paulo alipokuwa akinena juu ya haki, kuwa na kiasi na juu ya hukumu ijayo, Feliksi aliingiwa na hofu na kusema, “Hiyo yatosha sasa! Waweza kuondoka. Nitakapokuwa na wasaa nitakuita.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And as he reasoned of righteousness, temperance, and judgment to come Felix trembled, and answered, Go thy way for this time; when I have a convenient season, I will call for thee.

In Context

24Baada ya siku kadhaa, Feliksi alikuja pamoja na Drusila mkewe, ambaye alikuwa Myahudi. Alituma aitiwe Paulo, naye akamsikiliza alipokuwa akinena juu ya imani katika Kristo Yesu.

26Wakati huo Feliksi alitazamia kwamba Paulo angempa rushwa. Hivyo akawa anamwita mara kwa mara na kuzungumza naye.

Read all of Acts 24

Cross References

2 Samuel 23:3Mungu wa Israeli alinena, 2 mwamba wa Israeli akaniambia: 1 ‘Mtu anatawala watu kwa haki, 2 wakati anapotawala 2 akiwa na hofu ya Mungu, 1

1 Kings 22:26Kisha mfalme wa Israeli akaagiza, “Mchukueni na mkamrudishe kwa Amoni mtawala wa mji na kwa Yoashi mwana wa mfalme.

Ezra 10:3Sasa na tufanye agano mbele za Mungu wetu kuwafukuza hawa wanawake wote pamoja na watoto wao, kulingana na maonyo ya bwana wangu pamoja na wale ambao wanaogopa amri za Mungu wetu. Hili na lifanyike sawasawa na hii Sheria.

Job 29:14Niliivaa haki kama vazi langu; 2 uadilifu ulikuwa joho langu na kilemba changu. 1

Psalms 45:7Unaipenda haki na kuchukia uovu; 2 kwa hiyo Mungu, Mungu wako, 1 amekuweka juu ya wenzako, 2 kwa kukupaka mafuta ya furaha. 1

Psalms 58:1Enyi watawala, je, kweli mwanena kwa haki? 2 Je, mnahukumu kwa unyofu miongoni mwa watu? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 24:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 24:24Acts 24Acts 24:26 →