The Bible Software
bible.softwareActsActs 24 › Acts 24:9

Acts 24:9

Pia wale Wayahudi wakaunga mkono wakithibitisha kuwa mashtaka yote haya ni kweli. 1 Paulo Ajitetea Mbele Ya Feliksi

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the Jews also assented, saying that these things were so.

In Context

8akiwaamuru washtaki wake waje mbele yako: ili] kwa kumchunguza wewe mwenyewe unaweza kujua kutoka kwake mambo yote tunayomshtaki kwayo.”

10Mtawala Feliksi alipompungia Paulo mkono ili ajitetee, yeye akajibu, “Najua kwamba wewe umekuwa hakimu katika taifa hili kwa miaka mingi, hivyo natoa utetezi wangu kwa furaha.

Read all of Acts 24

Cross References

Psalms 62:3Mtamshambulia mtu hata lini? 2 Je, ninyi nyote mtamtupa chini, 2 ukuta huu ulioinama na uzio huu unaotikisika? 1

Isaiah 59:4Hakuna hata mmoja anayedai kwa haki; 2 hakuna hata mmoja anayetetea shauri lake kwa haki. 1 Wanategemea mabishano matupu na kusema uongo, 2 huchukua mimba ya magomvi na kuzaa uovu. 1

Ezekiel 22:27Maafisa wake walioko ndani yake ni kama mbwa mwitu wararuao mawindo yao, wanamwaga damu na kuua watu ili kupata faida ya udhalimu.

Micah 7:2Wanaomcha Mungu wameondolewa kutoka nchi; 2 hakuna mtu mnyofu hata mmoja aliyebaki. 1 Watu wote wanavizia kumwaga damu, 2 kila mmoja anamwinda ndugu yake kwa wavu. 1

John 8:44Ninyi ni watoto wa baba yenu ibilisi, nanyi mnataka kutimiza matakwa ya baba yenu. Yeye alikuwa muuaji tangu mwanzo, wala hakushikana na kweli maana hamna kweli ndani yake. Asemapo uongo husema yaliyo yake mwenyewe kwa maana yeye ni mwongo na baba wa huo uongo.

1 Thessalonians 2:16wakijitahidi kutuzuia tusizungumze na watu wa Mataifa ili kwamba wapate kuokolewa. Kwa njia hii wanazidi kujilundikia dhambi zao hadi kikomo. Lakini hatimaye ghadhabu ya Mungu imewafikia. 1 Paulo Atamani Kuwaona Wathesalonike

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 24:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 24:8Acts 24Acts 24:10 →