Acts 26:1
Ndipo Agripa akamwambia Paulo, “Unayo ruhusa kujitetea.” Hivyo Paulo akawaashiria kwa mkono wake, akaanza kujitetea, akasema:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 1:24Lakini kwa kuwa mlinikataa nilipowaita 2 na hakuna yeyote aliyekubali 2 niliponyoosha mkono wangu, 1
Proverbs 18:17Yeye aliye wa kwanza kuleta mashtaka huonekana sahihi, 2 hadi mwingine ajitokezapo na kumuuliza maswali. 1
John 7:51“Je, sheria zetu zinaturuhusu kumhukumu mtu kabla ya kumsikiliza na kufahamu alilotenda?”
Acts 22:1“Ndugu zangu na baba zangu, sikilizeni utetezi wangu.”
Acts 26:2“Mfalme Agripa, najiona kuwa na heri kusimama mbele yako leo ninapojitetea kuhusu mashtaka yote ya Wayahudi,