Acts 27:20
Kulipokuwa hakuna kuonekana kwa jua wala nyota kwa siku nyingi, nayo dhoruba ikiwa inaendelea kuwa kali, hatimaye tulikata kabisa tamaa ya kuokoka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Siku ya tatu, wakatupa vyombo vya meli baharini kwa mikono yao wenyewe.
Cross References
Exodus 10:21Kisha Bwana akamwambia Mose, “Nyoosha mkono wako kuelekea angani ili giza litande katika nchi ya Misri, giza ambalo watu wanaweza kulipapasa na kulihisi.”
Psalms 107:25Kwa maana alisema na kuamsha tufani 2 iliyoinua mawimbi juu. 1
Jeremiah 2:25Usikimbie hadi miguu yako iwe haina viatu, 2 na koo lako liwe limekauka. 1 Lakini ulisema, ‘Haina maana! 2 Ninaipenda miungu ya kigeni, 2 nami lazima niifuatie.’ 1
Jonah 1:4Ndipo Bwana akatuma upepo mkali baharini, nayo dhoruba kali sana ikavuma hata meli ikawa hatarini kuvunjika.
Matthew 8:24Ghafula, kukainuka dhoruba kali baharini hata mashua ikaanza kufunikwa na mawimbi, lakini Yesu alikuwa amelala usingizi.
2 Corinthians 11:25Mara tatu nilichapwa kwa fimbo, mara moja nilipigwa kwa mawe, mara tatu nimevunjikiwa na meli, nimekaa kilindini usiku kucha na mchana kutwa,