Acts 27:23
Jana usiku, malaika wa Mungu yule ambaye mimi ni wake na ambaye ninamwabudu alisimama karibu nami,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For there stood by me this night the angel of God, whose I am, and whom I serve,
In Context
Cross References
Exodus 19:5Sasa kama mkinitii kikamilifu na kutunza Agano langu, basi ninyi mtakuwa mali yangu ya thamani kubwa miongoni mwa mataifa yote. Ijapokuwa dunia yote ni mali yangu,
Psalms 116:16Ee Bwana, hakika mimi ni mtumishi wako, 2 mimi ni mtumishi wako, 2 mwana wa mjakazi wako; + 116:16 Au: mwanao mwaminifu. 1 umeniweka huru 2 toka katika minyororo yangu. 1
Psalms 143:12Kwa upendo wako usiokoma, 2 nyamazisha adui zangu; 1 waangamize watesi wangu wote, 2 kwa kuwa mimi ni mtumishi wako.
Song of Solomon 6:3Mimi ni wake mpenzi wangu, 2 na mpenzi wangu ni wangu; 2 yeye hujilisha katikati ya yungiyungi. 1 Shairi La Tano Mpenzi 1
Isaiah 44:21“Ee Yakobo, kumbuka mambo haya, 2 ee Israeli, kwa kuwa wewe ni mtumishi wangu. 1 Nimekuumba wewe, wewe ni mtumishi wangu. 2 Ee Israeli, sitakusahau. 1
Jeremiah 32:38Watakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wao.