Acts 27:42
Wale askari wakapanga kuwaua wale wafungwa ili kuzuia hata mmoja wao asiogelee na kutoroka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the soldiers’ counsel was to kill the prisoners, lest any of them should swim out, and escape.
In Context
Cross References
Psalms 74:20Likumbuke agano lako, 2 maana mara kwa mara mambo ya jeuri 2 yamejaa katika sehemu za giza nchini. 1
Ecclesiastes 9:3Huu ni ubaya ulio katika kila kitu kinachotendeka chini ya jua: Mwisho unaofanana huwapata wote. Zaidi ya hayo, mioyo ya watu, imejaa ubaya na kuna wazimu mioyoni mwao wangali hai, hatimaye huungana na waliokufa.
Luke 23:40Lakini yule mhalifu mwingine akamkemea mwenzake, akasema, “Je, wewe humwogopi Mungu, wakati uko kwenye adhabu iyo hiyo?