bible.software › Acts › Acts 27 › Acts 27:8
Acts 27:8
Tukaambaa na pwani kwa shida, tukafika sehemu iitwayo Bandari Nzuri, karibu na mji wa Lasea.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And, hardly passing it, came unto a place which is called The fair havens; nigh whereunto was the city of Lasea.
In Context
7Tukasafiri polepole kwa siku nyingi na kwa shida, hatimaye tukafika karibu na Nido. Kwa kuwa upepo wa mbisho ulituzuia tusiweze kushika mwelekeo tuliokusudia, tukapita chini ya Krete mkabala na Salmone.
9Muda mwingi ulikuwa umepotea na kusafiri baharini kulikuwa hatari kwa sababu wakati huu ulikuwa baada ya siku za kufunga. Hivyo Paulo akawaonya akasema,
Read all of Acts 27
This Verse In Other Editions
Study Acts 27:8