Matendo 4:15
Wakawaamuru watoke nje ya Baraza la Wayahudi + 4:15 Baraza la Wayahudi hapa ina maana ya Sanhedrin ambalo lilikuwa ndilo baraza la juu kabisa la utawala wa Kiyahudi, lililoundwa na wazee 70 pamoja na kuhani mkuu. wakati wakisemezana jambo hilo wao kwa wao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But when they had commanded them to go aside out of the council, they conferred among themselves,
In Context
Cross References
Acts 5:34Lakini Farisayo mmoja, jina lake Gamalieli, aliyekuwa mwalimu wa sheria, aliyeheshimiwa na watu wote, akasimama mbele ya baraza akaamuru mitume watolewe nje kwa muda.