Acts 4:20
Lakini sisi hatuwezi kuacha kusema yale tuliyoyaona na kuyasikia.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For we cannot but speak the things which we have seen and heard.
In Context
Cross References
Numbers 23:20Nimepokea agizo kubariki; 2 amebariki, nami siwezi kubadilisha. 1
Job 32:18Kwa kuwa nimejawa na maneno, 2 nayo Roho iliyomo ndani yangu yanisukuma; 1
Jeremiah 1:17“Jiandae! Simama useme chochote nitakachokuamuru. Usiwaogope, la sivyo nitakufanya uwaogope wao.
Jeremiah 6:11Lakini nimejaa ghadhabu ya Bwana, 2 nami siwezi kuizuia. 1 “Wamwagie watoto walioko barabarani, 2 na juu ya vijana waume waliokusanyika; 1 mume na mke watakumbwa pamoja ndani yake, 2 hata nao wazee waliolemewa na miaka. 1
Ezekiel 3:11Kisha nenda kwa watu wa taifa lako walio uhamishoni, ukaseme nao. Waambie, ‘Hivi ndivyo Bwana Mwenyezi asemavyo,’ kwamba watasikiliza au hawatasikiliza.”
Micah 3:8Lakini kuhusu mimi, nimejazwa nguvu, 2 nimejazwa Roho wa Bwana, 2 haki na uweza, 1 kumtangazia Yakobo kosa lake, 2 na Israeli dhambi yake. 1