Acts 4:5
Kesho yake, viongozi wa Kiyahudi, wazee na walimu wa sheria wakakusanyika Yerusalemu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And it came to pass on the morrow, that their rulers, and elders, and scribes,
In Context
4Lakini wengi waliosikia lile neno waliamini, idadi yao ilikuwa yapata wanaume 5,000.
6Walikuwepo kuhani mkuu Anasi, Kayafa, Yohana, Iskanda, na wengi wa jamaa ya kuhani mkuu.
Cross References
Isaiah 1:10Sikieni neno la Bwana, 2 ninyi watawala wa Sodoma; 1 sikilizeni sheria ya Mungu wetu, 2 enyi watu wa Gomora! 1
Matthew 27:1Asubuhi na mapema, viongozi wa makuhani wote na wazee wa watu wakafanya shauri pamoja dhidi ya Yesu ili kumuua.
Luke 20:1Siku moja, Yesu alipokuwa akifundisha watu Hekaluni na kuhubiri habari njema, viongozi wa makuhani, walimu wa sheria, pamoja na wazee wa watu wakamjia.
Luke 23:13Basi Pilato akawaita pamoja viongozi wa makuhani, viongozi wengine na watu,
Acts 4:8Petro, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akajibu, “Enyi watawala na wazee wa watu,
Acts 5:34Lakini Farisayo mmoja, jina lake Gamalieli, aliyekuwa mwalimu wa sheria, aliyeheshimiwa na watu wote, akasimama mbele ya baraza akaamuru mitume watolewe nje kwa muda.