bible.software › Acts › Acts 5 › Acts 5:10
Acts 5:10
Saa ile ile akaanguka chini miguuni mwake na kufa. Nao wale vijana wakaingia, wakamkuta amekufa, wakamchukua wakamzika kando ya mumewe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then fell she down straightway at his feet, and yielded up the ghost: and the young men came in, and found her dead, and, carrying her forth, buried her by her husband.
In Context
9Ndipo Petro akamwambia, “Imekuwaje mkakubaliana kumjaribu Roho wa Bwana? Tazama! Nyayo za vijana waliomzika mumeo ziko mlangoni, wewe nawe watakuchukua nje.”
11Hofu kuu ikalipata kanisa lote pamoja na watu wote waliosikia juu ya matukio haya. 1 Mitume Waponya Wengi
Read all of Acts 5
This Verse In Other Editions
Study Acts 5:10