Acts 5:23
Wakasema, “Tumekuta milango ya gereza imefungwa sawasawa na askari wa gereza wamesimama nje ya mlango, lakini tulipofungua milango hakuwepo mtu yeyote ndani.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 2:4Yeye atawalaye mbinguni hucheka, 2 Bwana huwadharau. 1
Proverbs 21:30Hakuna hekima, wala akili, wala mpango 2 unaoweza kufaulu dhidi ya Bwana. 1
Lamentations 3:55Nililiitia jina lako, Ee Bwana, 2 kutoka vina vya shimo. 1
Daniel 6:22Mungu wangu alimtuma malaika wake, naye akafunga vinywa vya hawa simba. Hawajanidhuru, kwa sababu nilionekana sina hatia mbele zake. Wala kamwe sijafanya jambo lolote baya mbele yako, ee mfalme.”
Matthew 28:12Baada ya viongozi wa makuhani kukutana na wazee na kutunga hila, waliwapa wale askari kiasi kikubwa cha fedha
Acts 5:19Lakini wakati wa usiku, malaika wa Bwana akaja, akafungua milango ya gereza na akawatoa nje. Akawaambia,