Acts 5:29
Petro na wale mitume wengine wakajibu, “Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then Peter and the other apostles answered and said, We ought to obey God rather than men.
In Context
Cross References
Genesis 3:17Kwa Adamu akasema, “Kwa sababu umemsikiliza mke wako na ukala kutoka kwenye mti niliokuamuru, ‘Msile tunda lake,’ 1 “Ardhi imelaaniwa kwa sababu yako, 2 kwa kazi ngumu utakula chakula kitokacho humo 2 siku zote za maisha yako. 1
2 Samuel 24:4Hata hivyo, neno la mfalme likawa na nguvu juu ya Yoabu pamoja na majemadari wa jeshi, kwa hiyo wakaondoka mbele ya mfalme kuandikisha wapiganaji wa Israeli.
Mark 7:7Huniabudu bure, 2 nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu.’
Revelation 14:8Malaika wa pili akafuata akisema, “Umeanguka! Umeanguka Babeli Mkuu, ule uliyafanya mataifa yote kulewa kwa mvinyo wa ghadhabu ya uasherati wake.”