Acts 6:10
Lakini hawakuweza kushindana na hekima yake wala huyo Roho ambaye alisema kwake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they were not able to resist the wisdom and the spirit by which he spake.
In Context
Cross References
Job 32:8Lakini ni Roho iliyoko ndani ya mwanadamu, 2 pumzi ya Mwenyezi, ndiyo impayo yeye ufahamu. 1
Isaiah 54:17Hakuna silaha itakayofanyizwa dhidi yako 2 itakayofanikiwa, 1 nawe utauthibitisha kuwa mwongo 2 kila ulimi utakaokushtaki. 1 Huu ndio urithi wa watumishi wa Bwana 2 na hii ndiyo haki yao itokayo kwangu,” 4 asema Bwana.
Jeremiah 15:20Nitakufanya wewe uwe ukuta kwa watu hawa, 2 ngome ya ukuta wa shaba; 1 watapigana nawe 2 lakini hawatakushinda, 1 kwa maana mimi niko pamoja nawe 2 kukuponya na kukuokoa,” 4 asema Bwana. 1
Micah 3:8Lakini kuhusu mimi, nimejazwa nguvu, 2 nimejazwa Roho wa Bwana, 2 haki na uweza, 1 kumtangazia Yakobo kosa lake, 2 na Israeli dhambi yake. 1
Luke 1:17Naye atatangulia mbele za Bwana katika roho na nguvu ya Eliya, ili kuigeuza mioyo ya baba kuwaelekea watoto wao, na wasiotii warejee katika hekima ya wenye haki, ili kuliweka tayari taifa lililoandaliwa kwa ajili ya Bwana.”
Luke 21:15Kwa maana nitawapa maneno na hekima ambayo hakuna hata adui yenu mmoja atakayeweza kushindana nayo wala kuipinga.