Acts 7:14
Ndipo Yosefu akawatuma kumleta Yakobo baba yake pamoja na jamaa yake yote, jumla yao walikuwa watu sabini na watano.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Hivyo Yakobo akaenda Misri ambako yeye na baba zetu walifia.
Cross References
Genesis 45:9Sasa rudini haraka kwa baba yangu na mwambieni, ‘Hili ndilo mwanao Yosefu asemalo: Mungu amenifanya mimi kuwa bwana wa Misri yote. Shuka uje kwangu, wala usikawie.
Genesis 46:26Wote waliokwenda Misri pamoja na Yakobo, waliokuwa wazao wake hasa pasipo kuhesabu wakwe zake, walikuwa watu sitini na sita.
Deuteronomy 10:22Baba zako walioshuka kwenda Misri jumla yao walikuwa sabini, na sasa Bwana Mungu wako amekufanya wengi kama nyota za angani.
Psalms 105:23Kisha Israeli akaingia Misri, 2 Yakobo akaishi kama mgeni katika nchi ya Hamu. 1