Acts 7:2
Stefano akajibu, “Ndugu zangu na baba zangu, nisikilizeni! Mungu wa utukufu alimtokea baba yetu Abrahamu, alipokuwa bado yuko Mesopotamia, kabla hajaishi Harani,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Ndipo kuhani mkuu akamuuliza Stefano, “Je, mashtaka haya ni ya kweli?”
3akamwambia, ‘Ondoka kutoka nchi yako na kutoka kwa jamii yako, uende hadi nchi nitakayokuonyesha.’
Cross References
Genesis 12:1Bwana akawa amemwambia Abramu, “Ondoka kutoka nchi yako, uache jamii yako na nyumba ya baba yako, uende hadi nchi nitakayokuonyesha. 1
Genesis 15:7Pia akamwambia, “Mimi ndimi Bwana, niliyekutoa toka Uru ya Wakaldayo nikupe nchi hii uimiliki.”
Joshua 24:2Yoshua akawaambia watu wote, “Hili ndilo Bwana, Mungu wa Israeli, asemalo: ‘Hapo zamani baba zenu, pamoja na Tera baba yake Abrahamu na Nahori, waliishi ngʼambo ya Mto nao waliiabudu miungu mingine.
Psalms 24:7Inueni vichwa vyenu, enyi malango, 2 inukeni enyi milango ya kale, 2 ili mfalme wa utukufu apate kuingia. 1
Psalms 29:3Sauti ya Bwana iko juu ya maji; 2 Mungu wa utukufu hupiga radi, 2 Bwana hupiga radi juu ya maji makuu. 1
Isaiah 51:2mwangalieni Abrahamu, baba yenu, 2 na Sara, ambaye aliwazaa. 1 Wakati nilipomwita alikuwa mmoja tu, 2 nami nikambariki na kumfanya kuwa wengi. 1