Acts 7:42
Ndipo Mungu akageuka, akawaacha waabudu jeshi lote la mbinguni, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Manabii: 1 “ ‘Je, mliniletea dhabihu na sadaka 2 kwa miaka arobaini kule jangwani, 2 ee nyumba ya Israeli? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 17:3naye amekwenda kinyume na agizo langu kuabudu miungu mingine na kuisujudia, kama vile jua, mwezi au nyota za angani,
2 Kings 17:16Wakayaacha maagizo yote ya Bwana Mungu wao na kujitengenezea sanamu mbili, walizozisubu katika sura ya ndama na nguzo ya Ashera. Wakasujudia mianga yote ya angani, na wakamtumikia Baali.
Job 31:26kama nimelitazama jua katika kungʼaa kwake 2 au mwezi ukienda kwa fahari yake, 1
Psalms 95:10Kwa miaka arobaini nilikasirikia kizazi kile, 2 nikasema, “Hawa ni taifa ambalo mioyo yao imepotoka, 2 nao hawajazijua njia zangu.” 1
Isaiah 63:10Lakini waliasi, 2 na kumhuzunisha Roho Mtakatifu wake. 1 Hivyo aligeuka na kuwa adui yao, 2 na yeye mwenyewe akapigana dhidi yao. 1
Jeremiah 19:13Nyumba zilizoko Yerusalemu na zile za wafalme wa Yuda zitatiwa unajisi kama mahali hapa, Tofethi: yaani nyumba zote ambazo walifukiza uvumba juu ya mapaa yake kwa jeshi lote la angani, na kumimina dhabihu za vinywaji kwa miungu mingine.’ ”