Acts 7:9
“Kwa sababu wazee wetu walimwonea wivu Yosefu ndugu yao, walimuuza kama mtumwa huko Misri. Lakini Mungu alikuwa pamoja naye.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the patriarchs, moved with envy, sold Joseph into Egypt: but God was with him,
In Context
Cross References
Genesis 37:4Ndugu zake walipoona kwamba baba yao anampenda Yosefu kuliko yeyote mwingine miongoni mwao, walimchukia na hawakusema naye neno lolote jema.
Genesis 39:2Bwana alikuwa pamoja na Yosefu, naye akastawi, Yosefu akaishi nyumbani kwa bwana wake Mmisri.
Genesis 39:21Bwana alikuwa pamoja naye, akamhurumia na kumpa kibali mbele ya msimamizi wa gereza.
Genesis 49:23Kwa uchungu wapiga mshale walimshambulia, 2 wakampiga mshale kwa ukatili. 1
Psalms 105:17naye akatuma mtu mbele yao, 2 Yosefu, aliyeuzwa kama mtumwa. 1
Isaiah 43:2Unapopita kwenye maji makuu, 2 nitakuwa pamoja nawe, 1 unapopita katika mito ya maji, 2 hayatakugharikisha. 1 Utakapopita katika moto, 2 hutaungua, 2 miali ya moto haitakuunguza. 1