The Bible Software
bible.softwareActsActs 8 › Acts 8:2

Acts 8:2

Watu wacha Mungu wakamzika Stefano na kumwombolezea sana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And devout men carried Stephen to his burial, and made great lamentation over him.

In Context

1Naye Sauli alikuwepo pale, akiridhia kuuawa kwa Stefano. 1 Kanisa Lateswa Na Kutawanyika Siku ile kukatukia mateso makuu dhidi ya kanisa huko Yerusalemu, waumini wote isipokuwa mitume wakatawanyika, wakakimbilia Uyahudi na Samaria.

3Lakini kwa habari ya Sauli alikuwa analiharibu kanisa, akiingia nyumba kwa nyumba, akiwaburuta wanawake na wanaume na kuwatupa gerezani. 1 Filipo Ahubiri Injili Samaria

Read all of Acts 8

Cross References

Genesis 23:2Sara akafa huko Kiriath-Arba (yaani Hebroni) katika nchi ya Kanaani, Abrahamu akamwombolezea na kumlilia Sara.

Genesis 50:10Walipofika kwenye sakafu ya kupuria nafaka ya Atadi, karibu na Yordani, wakalia kwa sauti na kwa uchungu; Yosefu akapumzika huko kwa siku saba kumwombolezea baba yake.

Deuteronomy 34:8Waisraeli wakaomboleza kwa ajili ya Mose kwenye tambarare za Moabu kwa siku thelathini, mpaka wakati wa kulia na kuomboleza ulipopita.

2 Samuel 3:31Kisha Daudi akamwambia Yoabu na watu wote aliokuwa pamoja nao, “Rarueni nguo zenu na mvae nguo za gunia na mtembee mkiomboleza mbele ya Abneri.” Mfalme Daudi mwenyewe akatembea nyuma ya jeneza.

2 Chronicles 35:25Nabii Yeremia akatunga maombolezo kwa ajili ya kifo chake, nao waimbaji wote, wanaume kwa wanawake, hufanya ukumbusho wa Yosia katika maombolezo hadi leo. Haya yakafanywa desturi katika Israeli, nayo yameandikwa katika Maombolezo.

Jeremiah 22:10Usimlilie yeye aliyekufa, wala usimwombolezee; 2 badala yake, afadhali umlilie kwa uchungu 2 yule aliyepelekwa uhamishoni, 1 kwa sababu kamwe hatairudia 2 wala kuiona tena nchi yake alikozaliwa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 8:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 8:1Acts 8Acts 8:3 →