Acts 8:4
Kwa hiyo wale waliotawanyika wakalihubiri neno la Mungu kila mahali walipokwenda.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Therefore they that were scattered abroad went every where preaching the word.
In Context
Cross References
Matthew 10:23Wakiwatesa katika mji mmoja, kimbilieni mji mwingine. Amin, amin nawaambia, hamtamaliza miji yote ya Israeli kabla Mwana wa Adamu kuja.
Acts 11:19Basi wale waliotawanyika kwa ajili ya mateso yaliyotokana na kifo cha Stefano, wakasafiri hadi Foinike na Kipro na Antiokia. Nao hawakuhubiri lile Neno kwa mtu yeyote isipokuwa Wayahudi.
Acts 15:35Lakini Paulo na Barnaba walibaki Antiokia ambako wao pamoja na wengine wengi walifundisha na kuhubiri neno la Bwana. 1 Safari Ya Pili Ya Paulo Kueneza Injili (15:36–18:22) 1 Paulo Na Barnaba Wagawanyika