bible.software › Acts › Acts 8 › Acts 8:6
Acts 8:6
Watu walipomsikia Filipo na kuona ishara na miujiza aliyofanya, wakasikiliza kwa bidii yale aliyosema.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the people with one accord gave heed unto those things which Philip spake, hearing and seeing the miracles which he did.
In Context
5Filipo akateremkia mji mmoja wa Samaria akawahubiria habari za Kristo + 8:5 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta.
7Pepo wachafu wakawa wakiwatoka watu wengi huku wakipiga kelele na wengi waliopooza na viwete wakaponywa.
Read all of Acts 8
Cross References
Matthew 20:15Je, sina haki yangu kufanya kile nitakacho na mali yangu mwenyewe? Au unaona wivu kwa kuwa nimekuwa mkarimu?’
Acts 13:44Sabato iliyofuata, karibu watu wote wa mji walikuja kusikiliza neno la Bwana.
This Verse In Other Editions
Study Acts 8:6