Acts 9:22
Sauli akazidi kuwa hodari na kuwashangaza Wayahudi walioishi Dameski kwa kuthibitisha kuwa Yesu ndiye Kristo. + 9:22 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Baada ya siku nyingi kupita, Wayahudi wakafanya shauri kumuua Sauli.
Cross References
Job 17:9Hata hivyo, waadilifu watazishika njia zao, 2 nao wale wenye mikono safi wataendelea kupata nguvu. 1
Isaiah 40:29Huwapa nguvu waliolegea 2 na huongeza nguvu za wadhaifu. 1
Luke 24:44Akawaambia, “Haya ndiyo yale niliyowaambia nilipokuwa bado niko pamoja nanyi, kwamba yote yaliyoandikwa kunihusu mimi katika Sheria ya Mose, Manabii na Zaburi hayana budi kutimizwa.”
Acts 17:3akidhihirisha wazi na kuthibitisha kwamba ilikuwa lazima Kristo + 17:3 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. ateswe na afufuke kutoka kwa wafu. Akasema, “Huyu Yesu ninayewaambia habari zake, ndiye Kristo.”
Acts 18:27Naye Apolo alipotaka kwenda Akaya, ndugu wa Efeso walimtia moyo, wakawaandikia wanafunzi huko ili wamkaribishe. Alipofika huko, aliwasaidia sana wale ambao, kwa neema ya Mungu, walikuwa wameamini.
1 Corinthians 1:27Lakini Mungu alivichagua vitu vipumbavu vya ulimwengu ili awaaibishe wenye hekima, Mungu alivichagua vitu dhaifu vya ulimwengu ili awaaibishe wenye nguvu.