Acts 9:25
Lakini wafuasi wake wakamchukua usiku wakamshusha akiwa ndani ya kapu kupitia mahali penye nafasi ukutani. 1 Sauli Huko Yerusalemu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then the disciples took him by night, and let him down by the wall in a basket.
In Context
Cross References
1 Samuel 19:11Sauli akatuma watu nyumbani mwa Daudi wailinde hiyo nyumba na kumuua asubuhi. Lakini Mikali, mkewe Daudi, akamwonya akisema, “Kama hukukimbia kuokoa maisha yako usiku huu, kesho yake utauawa.”