Amos 2:1
Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa dhambi tatu za Moabu, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Kwa sababu alichoma mifupa ya mfalme wa Edomu, 2 ikawa kama chokaa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 22:1Kisha Waisraeli wakasafiri katika tambarare za Moabu na kupiga kambi kando ya Mto Yordani, ngʼambo ya Yeriko.
2 Kings 3:9Hivyo mfalme wa Israeli akaondoka akiwa pamoja na mfalme wa Yuda na mfalme wa Edomu. Baada ya kuzunguka kwa siku saba, jeshi likawa limeishiwa maji kwa matumizi yao na kwa ajili ya wanyama waliokuwa nao.
Psalms 83:4Wanasema, “Njooni, tuwaangamize kama taifa, 2 ili jina la Israeli lisikumbukwe tena.” 1
Isaiah 11:14Watawashukia katika miteremko ya Wafilisti 2 hadi upande wa magharibi, 1 kwa pamoja watawateka watu nyara 2 hadi upande wa mashariki. 1 Watawapiga Edomu na Moabu, 2 na Waamoni watatawaliwa nao. 1
Isaiah 25:10Mkono wa Bwana utatulia juu ya mlima huu, 2 bali Moabu atakanyagwa chini 2 kama majani makavu yakanyagwavyo kwenye shimo la mbolea. 1
Ezekiel 25:8“Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: ‘Kwa sababu Moabu na Seiri wamesema, “Tazama, nyumba ya Yuda imekuwa kama mataifa mengine yote,”