Amos 5:1
Sikia neno hili, ee nyumba ya Israeli, ombolezo hili ninalifanya kuwahusu ninyi: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hear ye this word which I take up against you, even a lamentation, O house of Israel.
In Context
Cross References
Jeremiah 7:29Nyoeni nywele zenu na kuzitupa, ombolezeni katika miinuko iliyo kame, kwa kuwa Bwana amekikataa na kukiacha kizazi hiki kilichomkasirisha. 1 Bonde La Machinjo
Jeremiah 9:10Nitalia na kuomboleza kwa ajili ya milima 2 na kuomboleza kuhusu malisho ya jangwani. 1 Yamekuwa ukiwa, wala hakuna apitaye humo, 2 milio ya ngʼombe haisikiki. 1 Ndege wa angani wametoroka 2 na wanyama wamekimbia. 1
Jeremiah 9:20Basi, enyi wanawake, sikieni neno la Bwana; 2 fungueni masikio yenu msikie maneno ya kinywa chake. 1 Wafundisheni binti zenu kuomboleza; 2 fundishaneni kila mmoja na mwenzake maombolezo. 1
Ezekiel 19:1“Wewe fanya maombolezo kuhusu wakuu wa Israeli
Ezekiel 26:17Ndipo wao watakuombolezea na kukuambia: 1 “ ‘Tazama jinsi ulivyoharibiwa, 2 ee mji uliokuwa na sifa, 2 wewe uliyekaliwa na mabaharia! 1 Ulikuwa na nguvu kwenye bahari, 2 wewe na watu wako; 1 wote walioishi huko, 2 uliwatia hofu kuu. 1
Ezekiel 27:27Utajiri wako, bidhaa zako na mali zako, 2 mabaharia wako, manahodha wako, 2 mafundi wako wa meli, 1 wafanyabiashara wako na askari wako wote, 2 na kila mmoja aliyeko melini 1 atazama kwenye moyo wa bahari 2 siku ile ya kuvunjika kwa meli yako. 1