Wakolosai 1:12
mkimshukuru Baba, ambaye amewastahilisha kushiriki katika urithi wa watakatifu katika ufalme wa nuru.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Kwa maana ametuokoa kutoka ufalme wa giza na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wake mpendwa,
Cross References
1 Kings 6:7Katika kujenga Hekalu, yalitumika tu mawe yaliyochongwa huko machimboni, wala hakuna nyundo, patasi au chombo kingine chochote cha chuma kilichosikika sauti yake katika eneo la ujenzi wa Hekalu wakati lilipokuwa likijengwa.
Psalms 36:9Kuwa pamoja nawe ni kijito cha uzima, 2 katika nuru yako twaona nuru. 1
Psalms 97:11Nuru huangaza wenye haki 2 na furaha kwa watu wanyofu wa moyo. 1
Psalms 116:7Ee nafsi yangu, tulia tena, 2 kwa kuwa Bwana amekuwa mwema kwako. 1
Proverbs 16:1Mipango ya moyoni ni ya mwanadamu, 2 bali jibu la ulimi hutoka kwa Bwana. 1
Daniel 2:23Ninakushukuru na kukuhimidi, 2 Ee Mungu wa baba zangu: 2 Umenipa hekima na uwezo, 1 umenijulisha kile tulichokuomba, 2 umetujulisha ndoto ya mfalme.” 1 Danieli Aifasiri Ndoto