Wakolosai 1:16
Kwake yeye vitu vyote vilivyoko mbinguni na juu ya nchi viliumbwa: vitu vinavyoonekana na visivyoonekana, viwe ni viti vya enzi au falme, au wenye mamlaka au watawala; vitu vyote viliumbwa na yeye na kwa ajili yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Yeye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.
17Yeye alikuwepo kabla ya vitu vyote, na katika yeye vitu vyote vinashikamana pamoja.
Cross References
1 Chronicles 29:11Ukuu na uweza, ni vyako, Ee Bwana, 2 na utukufu na enzi na uzuri, 1 kwa kuwa kila kilichoko mbinguni na duniani 2 ni chako wewe. 1 Ee Bwana, ufalme ni wako; 2 umetukuzwa kuwa mkuu juu ya yote. 1
Proverbs 16:4Bwana hufanya kila kitu kwa kusudi lake mwenyewe; 2 hata waovu kwa siku ya maangamizi. 1
Isaiah 43:21watu wale niliowaumba kwa ajili yangu, 2 ili wapate kutangaza sifa zangu. 1
John 1:3Vitu vyote viliumbwa kwa yeye, wala pasipo yeye hakuna chochote kilichoumbwa ambacho kimeumbwa.
Romans 11:36Kwa maana vitu vyote vyatoka kwake, viko kwake na kwa ajili yake. 2 Utukufu ni wake milele! Amen.
Ephesians 1:10ili yapate kutimizwa wakati mkamilifu utakapowadia, yaani, kuvitia vitu vyote vya mbinguni na vya duniani pamoja, chini ya kiongozi mmoja, ndiye Kristo.