Wakolosai 1:19
Kwa kuwa ilimpendeza Mungu kwamba utimilifu wake wote ukae ndani yake,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For it pleased the Father that in him should all fulness dwell;
In Context
Cross References
Matthew 11:25Wakati huo Yesu alisema, “Nakuhimidi Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa umewaficha mambo haya wenye hekima na wenye elimu, nawe ukawafunulia watoto wadogo.
John 1:16Kutokana na ukamilifu wake, sisi sote tumepokea neema juu ya neema.
Ephesians 1:3Ahimidiwe Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki sisi kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho ndani ya Kristo.
Ephesians 1:23ambalo ndilo mwili wake, ukamilifu wake yeye aliye yote katika yote.
Colossians 2:3ambaye ndani yake kumefichwa hazina zote za hekima na maarifa.
Colossians 3:11Hapa hakuna Myunani wala Myahudi, aliyetahiriwa wala asiyetahiriwa, asiyestaarabika wala aliyestaarabika, mtumwa wala mtu huru, bali Kristo ni yote, na ndani ya wote.