Wakolosai 1:23
ikiwa mnaendelea katika imani yenu mkiwa imara na thabiti, pasipo kuliacha tumaini lililoahidiwa katika Injili. Hii ndiyo ile Injili mliyoisikia, ambayo imehubiriwa kwa kila kiumbe chini ya mbingu, na ambayo mimi Paulo nimekuwa mtumwa wake. 1 Taabu Ya Paulo Kwa Ajili Ya Kanisa
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 2:25Siku hii ya leo nitaanza kuwatia hofu na woga mataifa yote chini ya mbingu wawaogope ninyi. Watakaposikia taarifa zenu, watatetemeka na kufadhaika kwa sababu yenu.” 1 Kushindwa Kwa Sihoni Mfalme Wa Heshboni (Hesabu 21:21-30)
Psalms 92:13waliopandwa katika nyumba ya Bwana, 2 watastawi katika nyua za Mungu wetu. 1
Lamentations 3:66Wafuatilie katika hasira na uwaangamize 2 kutoka chini ya mbingu za Bwana.
Hosea 6:3Tumkubali Bwana, 2 tukaze kumkubali yeye. 1 Kutokea kwake ni hakika kama vile 2 kuchomoza kwa jua; 1 atatujia kama mvua za masika, 2 kama vile mvua za vuli 2 ziinyweshavyo nchi.” 1
Matthew 7:24“Kwa hiyo kila mtu ayasikiaye haya maneno yangu na kuyatenda, ni kama mtu mwenye busara aliyejenga nyumba yake kwenye mwamba.
Mark 16:15Akawaambia, “Enendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.