The Bible Software
bible.software › Wakolosai › Wakolosai 1 › Wakolosai 1:28

Wakolosai 1:28

Yeye ndiye tunayemtangaza, tukimwonya kila mtu na kumfundisha kila mtu kwa hekima yote ili tuweze kumleta kila mmoja akiwa amekamilika katika Kristo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Whom we preach, warning every man, and teaching every man in all wisdom; that we may present every man perfect in Christ Jesus:

In Context

27Kwao, Mungu amechagua kujulisha miongoni mwa watu wa Mataifa utukufu wa utajiri wa siri hii, ambayo ni Kristo ndani yenu, tumaini la utukufu.

29Kwa ajili ya jambo hili, ninajitaabisha, nikijitahidi kwa kadiri ya nguvu zake ambazo hutenda kazi ndani yangu kwa uweza mwingi.

Read all of Wakolosai 1

Cross References

Deuteronomy 4:5Tazama, nimewafundisha amri na sheria kama Bwana Mungu wangu alivyoniamuru mimi, ili mzifuate katika nchi mnayoiingia kuimiliki.

Ecclesiastes 12:9Mhubiri hakuwa tu na hekima, bali aliwagawia watu maarifa pia. Alitafakari na kutafiti na akaweka katika utaratibu mithali nyingi.

Jeremiah 6:10Niseme na nani na kumpa onyo? 2 Ni nani atakayenisikiliza mimi? 1 Masikio yao yameziba, + 6:10 Masikio yameziba kwa Kiebrania ina maana kwamba masikio yao hayajatahiriwa. 2 kwa hiyo hawawezi kusikia. 1 Neno la Bwana ni chukizo kwao, 2 hawalifurahii. 1

Ezekiel 7:10“Siku imefika! Imewadia! Maangamizi yamezuka ghafula, fimbo imechanua majivuno yamechipua!

Matthew 3:7Lakini alipowaona Mafarisayo na Masadukayo wengi wakija ili kubatizwa, aliwaambia: “Ninyi watoto wa nyoka! Ni nani aliyewaonya kuikimbia ghadhabu inayokuja?

Matthew 28:20nanyi wafundisheni kuyashika mambo yote niliyowaamuru ninyi. Hakika mimi niko pamoja nanyi siku zote, hadi mwisho wa nyakati.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Wakolosai 1:28

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Wakolosai 1:27Wakolosai 1Wakolosai 1:29 →