Wakolosai 1:6
iliyowafikia ninyi. Duniani kote Injili hii inazaa matunda na kuenea kama ilivyokuwa kwenu tangu siku ile mlipoisikia na kuielewa neema ya Mungu katika kweli yote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 98:3Ameukumbuka upendo wake 2 na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli; 1 miisho yote ya dunia imeuona 2 wokovu wa Mungu wetu. 1
Matthew 24:14Injili ya Ufalme itahubiriwa ulimwenguni kote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote. Ndipo mwisho utakapokuja.
Mark 4:8Mbegu nyingine zilianguka kwenye udongo mzuri, zikaota vizuri na kukua, zikatoa mazao, moja mara thelathini, nyingine mara sitini, na nyingine mara mia moja.”
Mark 16:15Akawaambia, “Enendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
John 15:16Si ninyi mlionichagua, bali mimi ndiye niliyewachagua ninyi na kuwaweka mwende mkazae matunda, na matunda yenu yapate kudumu. Ili nalo lolote mtakalomwomba Baba katika Jina langu, awape ninyi.
Acts 12:24Lakini neno la Mungu likaendelea mbele na kuenea, nao wengi wakaambatana nalo.