Wakolosai 3:1
Basi, kwa kuwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu, Kristo alikoketi mkono wa kuume wa Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Yafikirini mambo yaliyo juu, wala si ya duniani.
Cross References
Psalms 17:14Ee Bwana, mkono wako uniokoe na watu wa jinsi hii, 2 kutokana na watu wa ulimwengu huu 2 ambao fungu lao liko katika maisha haya. 1 Na wapate adhabu ya kuwatosha. 2 Watoto wao na wapate zaidi ya hayo, 2 hukumu na iendelee kwa watoto wa watoto wao. 1
Psalms 110:1Bwana amwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1 mpaka nitakapowafanya adui zako 2 kuwa mahali pa kuweka miguu yako.” 1
Matthew 6:20Lakini jiwekeeni hazina mbinguni, mahali ambapo nondo na kutu haviharibu, wala wevi hawavunji na kuiba.
Matthew 22:44“ ‘ Bwana alimwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1 hadi nitakapowaweka adui zako 2 chini ya miguu yako.”’
Mark 12:36Kwa maana Daudi mwenyewe, akinena kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu, alisema: 1 “ ‘ Bwana alimwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1 hadi nitakapowaweka adui zako 2 chini ya miguu yako.”’
Mark 16:19Baada ya Bwana Yesu kusema nao, alichukuliwa juu mbinguni na kuketi mkono wa kuume wa Mungu.