Wakolosai 3:18
Ninyi wake, watiini waume zenu, kama inavyostahili katika Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wives, submit yourselves unto your own husbands, as it is fit in the Lord.
In Context
19Ninyi waume, wapendeni wake zenu, wala msiwe na uchungu dhidi yao.
Cross References
Genesis 3:16Kwa mwanamke akasema, 1 “Nitakuzidishia sana utungu wakati wa kuzaa kwako; 2 kwa utungu utazaa watoto. 1 Tamaa yako itakuwa kwa mumeo 2 naye atakutawala.”
Acts 5:29Petro na wale mitume wengine wakajibu, “Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu.
1 Corinthians 14:34wanawake wanapaswa kuwa kimya kanisani. Hawaruhusiwi kusema, bali wanyenyekee kama sheria isemavyo.
Ephesians 5:22Ninyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana.
Titus 2:4ili waweze kuwafundisha wanawake vijana kuwa na kiasi, wawapende waume zao na kuwapenda watoto wao,