Wakolosai 3:19
Ninyi waume, wapendeni wake zenu, wala msiwe na uchungu dhidi yao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Husbands, love your wives, and be not bitter against them.
In Context
18Ninyi wake, watiini waume zenu, kama inavyostahili katika Bwana.
20Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote, kwa maana hivi ndivyo inavyompendeza Bwana.
Cross References
Genesis 2:23Huyo mwanaume akasema, 1 “Huyu sasa ni mfupa wa mifupa yangu 2 na nyama ya nyama yangu, 1 ataitwa ‘mwanamke,’ + 2:23 Jina la Kiebrania la mwanamke linafanana na lile la mwanaume. 2 kwa kuwa alitolewa katika mwanaume.”
Proverbs 5:18Chemchemi yako na ibarikiwe 2 na umfurahie mke wa ujana wako. 1
Malachi 2:14Mnauliza, “Kwa nini?” Ni kwa sababu Bwana ni shahidi kati yako na mke wa ujana wako, kwa sababu umevunja uaminifu naye, ingawa yeye ni mwenzako, mke wa agano lako la ndoa.
Romans 3:14“Vinywa vyao vimejaa laana na uchungu.” 1
Ephesians 5:25Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama vile Kristo alivyolipenda Kanisa akajitoa kwa ajili yake
Ephesians 5:33Hata hivyo, kila mmoja wenu ampende mkewe kama anavyoipenda nafsi yake mwenyewe, naye mke lazima amheshimu mumewe.