Wakolosai 3:20
Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote, kwa maana hivi ndivyo inavyompendeza Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Children, obey your parents in all things: for this is well pleasing unto the Lord.
In Context
19Ninyi waume, wapendeni wake zenu, wala msiwe na uchungu dhidi yao.
21Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, wasije wakakata tamaa.
Cross References
Genesis 28:7tena kwamba Yakobo amewatii baba yake na mama yake naye amekwenda Padan-Aramu.
Leviticus 19:3“ ‘Kila mmoja wenu ni lazima amheshimu mama yake na baba yake, na pia ni lazima kuzishika Sabato zangu. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.
Deuteronomy 27:16“Alaaniwe mtu amdharauye baba yake na mama yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Proverbs 6:20Mwanangu, zishike amri za baba yako, 2 wala usiyaache mafundisho ya mama yako. 1
Proverbs 30:11“Wako watu wale ambao huwalaani baba zao 2 na wala hawawabariki mama zao; 1
Ezekiel 22:7Ndani yako wamewadharau baba na mama, ndani yako wamewatendea wageni udhalimu na kuwaonea yatima na wajane.