Wakolosai 3:23
Lolote mfanyalo, fanyeni kwa moyo kama watu wanaomtumikia Bwana, na si wanadamu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And whatsoever ye do, do it heartily, as to the Lord, and not unto men;
In Context
Cross References
Psalms 47:6Mwimbieni Mungu sifa, imbeni sifa, 2 mwimbieni sifa Mfalme wetu, imbeni sifa. 1
Psalms 119:10Ninakutafuta kwa moyo wangu wote, 2 usiniache niende mbali na amri zako. 1
Psalms 119:145Ee Bwana, ninakuita kwa moyo wangu wote, 2 nami nitayatii maagizo yako. 1
Jeremiah 3:10Pamoja na hayo yote, Yuda dada yake mdanganyifu hakunirudia kwa moyo wake wote, bali kwa kujifanya tu,” asema Bwana.
Matthew 6:16“Mnapofunga, msiwe wenye huzuni kama wafanyavyo wanafiki. Maana wao hukunja nyuso zao ili kuwaonyesha wengine kwamba wamefunga. Amin, amin nawaambia wao wamekwisha kupata thawabu yao kamilifu.
Romans 14:8Kama tunaishi, tunaishi kwa Bwana, nasi pia tukifa tunakufa kwa Bwana. Kwa hiyo basi, kama tukiishi au kama tukifa, sisi ni mali ya Bwana.