Wakolosai 3:25
Yeyote atendaye mabaya atalipwa kwa ajili ya mabaya yake, wala hakuna upendeleo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 19:15“ ‘Usipotoshe haki; usionyeshe kumpendelea maskini, wala upendeleo kwa mwenye cheo, bali mwamulie jirani yako kwa haki.
Deuteronomy 10:17Kwa kuwa Bwana Mungu wenu ni Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana, Mungu mkuu, mwenye uweza na wa kutisha, ambaye hana upendeleo na hapokei rushwa.
2 Chronicles 19:7Basi sasa hofu ya Bwana na iwe juu yenu. Hukumuni kwa uangalifu, kwa kuwa kwa Bwana Mungu wetu hakuna jambo lisilo la haki, upendeleo, wala rushwa.”
Job 37:24Kwa hiyo, wanadamu mheshimuni, 2 kwa kuwa yeye hamstahi yeyote anayejidhania kuwa ana hekima.”
Acts 10:34Ndipo Petro akafungua kinywa chake akasema, “Mungu hana upendeleo,
1 Corinthians 6:7Huko kuwa na mashtaka miongoni mwenu ina maana kwamba tayari ni kushindwa kabisa. Kwa nini msikubali kutendewa mabaya? Kwa nini msikubali kunyangʼanywa?