Daniel 10:9
Kisha nikamsikia akisema, nami nilipokuwa nikimsikiliza, nikalala kifudifudi, nikapatwa na usingizi mzito.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 2:21Hivyo Bwana Mungu akamfanya Adamu kulala usingizi mzito, naye alipokuwa amelala akachukua moja ya mbavu zake, akapafunika mahali pale kwa nyama.
Job 4:13Katikati ya ndoto za kutia wasiwasi wakati wa usiku, 2 hapo usingizi mzito uwapatapo wanadamu, 1
Song of Solomon 5:2Nililala lakini moyo wangu ulikuwa macho. 1 Sikiliza! Mpenzi wangu anabisha: 2 “Nifungulie, dada yangu, mpenzi wangu, 2 hua wangu, asiye na hitilafu. 1 Kichwa changu kimeloa umande, 2 na nywele zangu manyunyu ya usiku.” 1
Habakkuk 3:16Nilisikia na moyo wangu ukagonga kwa nguvu, 2 midomo yangu ikatetemeka kwa hofu niliposikia sauti; 1 uchakavu ukanyemelea mifupa yangu, 2 na miguu yangu ikatetemeka. 1 Hata hivyo nitasubiri kwa uvumilivu siku ya maafa 2 kuyajilia mataifa yaliyotuvamia. 1
Luke 22:45Baada ya kuomba, akawarudia wanafunzi wake akawakuta wamelala, wakiwa wamechoka kutokana na huzuni.