Daniel 11:1
Nami katika mwaka wa kwanza wa utawala wa Dario Mmedi, nilisimama kumsaidia na kumlinda.) 1 Wafalme Wa Kusini Na Wa Kaskazini
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Also I in the first year of Darius the Mede, even I, stood to confirm and to strengthen him.
In Context
Cross References
Daniel 5:31naye Dario Mmedi akashika ufalme akiwa na miaka sitini na miwili.
Daniel 9:1Katika mwaka wa kwanza wa utawala wa Dario mwana wa Ahasuero (mzaliwa wa Umedi), ambaye alifanywa mtawala juu ya ufalme wa Babeli,
Acts 14:22wakiwaimarisha wanafunzi na kuwatia moyo waendelee kudumu katika imani. Wakawaonya wakisema, “Imetupasa kuingia katika Ufalme wa Mungu kwa kupitia katika taabu nyingi.”