Daniel 11:19
Baada ya hili atazigeukia ngome za nchi yake mwenyewe, lakini atajikwaa na kuanguka, wala hataonekana tena.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 20:8Kama ndoto hutoweka, wala hapatikani tena, 2 amefukuziwa mbali kama maono ya usiku. 1
Psalms 27:2Waovu watakaposogea dhidi yangu 2 ili wanile nyama yangu, 1 adui zangu na watesi wangu watakaponishambulia, 2 watajikwaa na kuanguka. 1
Psalms 37:36lakini alitoweka mara na hakuonekana, 2 ingawa nilimtafuta, hakupatikana. 1
Ezekiel 26:21Nitakufikisha mwisho wa kutisha wala hutakuwepo tena. Watu watakutafuta, lakini kamwe hutaonekana tena, asema Bwana Mwenyezi.”