bible.software › Daniel › Daniel 2 › Daniel 2:17
Daniel 2:17
Ndipo Danieli akarudi nyumbani kwake na kuwaeleza rafiki zake Hanania, Mishaeli na Azaria jambo hilo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then Daniel went to his house, and made the thing known to Hananiah, Mishael, and Azariah, his companions:
In Context
16Aliposikia jambo hili, Danieli akamwendea mfalme, akamwomba ampe muda ili aweze kumfasiria ile ndoto.
18Aliwasihi waombe rehema kutoka kwa Mungu wa mbinguni kuhusu siri hii, ili yeye na rafiki zake wasije wakauawa pamoja na wenye hekima wengine wa Babeli.
Read all of Daniel 2
Cross References
Daniel 1:11Ndipo Danieli akamwambia mlinzi aliyeteuliwa na huyo mkuu wa maafisa kuwasimamia Danieli, Hanania, Mishaeli na Azaria,
This Verse In Other Editions
Study Daniel 2:17