Daniel 2:28
lakini yuko Mungu mbinguni afunuaye siri. Amemwonyesha Mfalme Nebukadneza kitakachotokea siku zijazo. Ndoto yako na maono yaliyopita mawazoni mwako ulipokuwa umelala kitandani mwako ni haya:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 40:8Wakamjibu, “Sisi sote tuliota ndoto, lakini hapakuwa na mtu yeyote wa kuzifasiri.” Ndipo Yosefu akawaambia, “Je, kufasiri ndoto si kazi ya Mungu? Niambieni ndoto zenu.”
Genesis 49:1Ndipo Yakobo akawaita wanawe na kusema: “Kusanyikeni kunizunguka ili niweze kuwaambia lile litakalowatokea siku zijazo. 1
Deuteronomy 4:30Wakati mnapokuwa katika dhiki, nayo mambo haya yote yamewatokea siku hizo, ndipo mtamrudia Bwana Mungu wenu na kumtii.
Psalms 115:3Mungu wetu yuko mbinguni, 2 naye hufanya lolote limpendezalo. 1
Isaiah 41:22“Leteni sanamu zenu zituambie 2 ni nini kitakachotokea. 1 Tuambieni mambo ya zamani yalikuwa nini, 2 ili tupate kuyatafakari 2 na kujua matokeo yake ya mwisho. 1 Au tutangazieni mambo yatakayokuja, 2
Jeremiah 48:47“Lakini nitarudisha mateka wa Moabu, 2 katika siku zijazo,” 4 asema Bwana. Huu ndio mwisho wa hukumu juu ya Moabu.