Daniel 3:23
Watu hawa watatu walianguka ndani ya tanuru iwakayo moto wakiwa wamefungwa kwa uthabiti sana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 34:19Mwenye haki ana mateso mengi, 2 lakini Bwana humwokoa nayo yote, 1
Psalms 124:1Kama Bwana asingalikuwa upande wetu; 2 Israeli na aseme sasa: 1
Lamentations 3:52Wale waliokuwa adui zangu bila sababu 2 wameniwinda kama ndege. 1
2 Corinthians 1:8Ndugu wapendwa, hatutaki mkose kujua kuhusu zile taabu tulizopata huko Asia. Kwa maana tulilemewa na mizigo sana, kiasi cha kushindwa kuvumilia, hata tulikata tamaa ya kuishi.
1 Peter 4:12Wapenzi, msione ajabu kwa yale mateso yanayotukia miongoni mwenu, kana kwamba ni kitu kigeni kinachowapata.