Daniel 4:6
Hivyo nikaagiza kwamba watu wote wenye hekima wa Babeli waletwe mbele yangu kunifasiria ndoto yangu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 41:7Masuke yale membamba yakameza yale masuke saba yenye afya na yaliyojaa. Basi Farao akaamka kutoka usingizini, kumbe ilikuwa ndoto.
Isaiah 47:12“Endelea basi na uaguzi wako, 2 na wingi wa uchawi wako, 2 ambao umeutumikia tangu utoto wako. 1 Labda utafanikiwa, 2 labda unaweza ukasababisha hofu kuu. 1
Daniel 2:2Hivyo mfalme akawaita waganga, wasihiri, wachawi na wanajimu ili wamwambie ndoto yake aliyokuwa ameota. Walipoingia ndani na kusimama mbele ya mfalme,
Daniel 4:15Lakini acheni kisiki chake na mizizi, kikiwa kimefungwa kwa chuma na shaba, kibaki ardhini, kwenye majani ya kondeni. “ ‘Mwacheni aloweshwe na umande wa mbinguni, naye aachwe aishi pamoja na wanyama miongoni mwa mimea ya dunia.