Daniel 5:3
Kwa hiyo wakavileta vile vikombe vya dhahabu ambavyo vilikuwa vimechukuliwa kutoka Hekalu la Mungu huko Yerusalemu, naye mfalme na wakuu wake, wake zake na masuria wake wakavinywea.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Walipokuwa wakinywa mvinyo, wakaisifu miungu ya dhahabu na fedha, ya shaba, chuma, miti na mawe.
Cross References
2 Chronicles 36:18Akavichukua kwenda Babeli vyombo vyote kutoka Hekalu la Mungu, vikubwa na vidogo, hazina za Hekalu la Bwana pamoja na hazina za mfalme na za maafisa wake.
Jeremiah 50:28Wasikilizeni watoro na wakimbizi kutoka Babeli 2 wakitangaza katika Sayuni 1 jinsi Bwana, Mungu wetu alivyolipiza kisasi, 2 kisasi kwa ajili ya Hekalu lake. 1
Habakkuk 1:11Kisha wanapita kasi kama upepo na kusonga mbele: 2 watu wenye hatia, ambao nguvu zao ndio mungu wao.” 1 Lalamiko La Pili La Habakuki 1
1 Thessalonians 5:3Wakati watu wanaposema, “Kuna amani na salama,” maangamizi huwajia ghafula, kama vile utungu umjiavyo mwanamke mwenye mimba; nao hakika hawatatoroka.