Daniel 6:1
Ilimpendeza Dario kuteua wakuu 120 kutawala katika ufalme wake wote,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 18:21Lakini uchague watu wenye uwezo miongoni mwa watu wote, watu wanaomwogopa Mungu, watu waaminifu wanaochukia mali ya dhuluma, uwateuwe wawe maafisa juu ya maelfu, mamia, hamsini na makumi.
Jeremiah 51:28Andaeni mataifa kwa ajili ya vita dhidi yake, 2 wafalme wa Wamedi, 1 watawala wao na maafisa wao wote, 2 pamoja na nchi zote wanazotawala. 1
Daniel 9:1Katika mwaka wa kwanza wa utawala wa Dario mwana wa Ahasuero (mzaliwa wa Umedi), ambaye alifanywa mtawala juu ya ufalme wa Babeli,
1 Peter 2:14au kwa maafisa aliowaweka, kwa kuwa mfalme amewatuma ili kuwaadhibu wale wanaokosa, na kuwapongeza wale watendao mema.